VISION:To be a leading university in the provision of quality knowledge and skills in Agriculture and allied sciences

Upatikanaji wa tovuti ya Sekretarieti ya Ajira kupitia tovuti ya SUA

Created on 30 August 2017

Jukumu kubwa la sekretarieti ya ajira ni kuwezesha upatikanaji wa wataalamu wanaohitajika kuajiriwa katika utumishi wa umma wenye sifa na weledi.

Sasa wanafunzi na wadau wengine wanaweza kunufaika na taarifa na fursa za ajira serikalini kwa kutembelea tovuti ya sekretarieti: www.ajira.go.tz au kupitia tovuti ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo eneo la "Quick links"

Sokoine University of Agriculture Units Website Ranking Results | September 2017

University wide  Website Committee (UWC) of Sokoine University of Agriculture (SUA) in its 13th meeting held on 06th September 2017 approved the results of the ranking of University website for the College/School/Faculty/Department/Institute/Directorate and Centres for the third quarter (June - September 2017).

Congratulations to the following units for being the Winner (Top three).

1. Sokoine National Agricultural Library (SNAL)

2. College of Agriculture (CoA)

3. College of Forestry, Wildlife, and Tourism (CFWT)

 

 

MISSION:Promote development in Agriculture,natural resources and allied sectors through training,research and delivery of services
Copyright © 2017 Sokoine University of Agriculture. All Rights Reserved.