VISION:To be a leading university in the provision of quality knowledge and skills in Agriculture and allied sciences

Makamu wa Mkuu wa Chuo mpya atambulishwa na kuanza kazi rasmi.

Created on 09 May 2017

Makamu wa Mkuu wa Chuo mpya Profesa Raphael Chibunda ameanza kazi rasmi baada ya kutambulishwa kwa Wanajumuiya /Wafanyakazi wa Chuo.

Profesa Chibunda ametambulishwa rasmi leo tarehe 09/05/2017 na Makamu wa Mkuu wa Chuo aliyemaliza kipindi chake cha uongozi Profesa Gerald C. Monela, katika mkutano maalum uliofanyika  “Multipurpose Hall“, Kampasi kuu.

Wakati wa utambulisho huo,  Profesa Monela alisema  Makamu wa Mkuu wa  Chuo mpya  ameanza kazi kwa barua inayoonesha kuwa uteuzi wake umeanza rasmi tarehe 02/05/2017.

Profesa Monela amemtakia kheri kiongozi huyo mpya wa Chuo na kuahidi kumpa ushirikiano stahiki.

Tunamtakia kila la kheri Makamu wa Mkuu wa Chuo mpya na kuahidi kumpa ushirikiano stahiki katika kutimiza majukumu yake mapya ya kazi na pia tunamtakia afya njema Makamu wa Mkuu wa Chuo aliyemaliza muda wake.

Sokoine University of Agriculture Units Website Ranking Results | September 2017

University wide  Website Committee (UWC) of Sokoine University of Agriculture (SUA) in its 13th meeting held on 06th September 2017 approved the results of the ranking of University website for the College/School/Faculty/Department/Institute/Directorate and Centres for the third quarter (June - September 2017).

Congratulations to the following units for being the Winner (Top three).

1. Sokoine National Agricultural Library (SNAL)

2. College of Agriculture (CoA)

3. College of Forestry, Wildlife, and Tourism (CFWT)

 

 

MISSION:Promote development in Agriculture,natural resources and allied sectors through training,research and delivery of services
Copyright © 2017 Sokoine University of Agriculture. All Rights Reserved.