VISION:To be a leading university in the provision of quality knowledge and skills in Agriculture and allied sciences

Uwasilishaji Taarifa Kuhusu Uwezo wa Bidhaa za Viwanda vya Tanzania Kushindana Katika Soko (TANZANIA INDUSTRIAL COMPETITIVENESS REPORT 2015)

Created on 20 June 2016

Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji kwa kushirikiana na wadau mbalimbali chini ya ushauri wa kitaalam wa UNIDO imeandaa taarifa inayohusu ushindani wa bidhaa za viwandani (Tanzania Industrial Competitive Report (TICR) 2015)…

Mkutano huu utafanyika tarehe 22 Juni 2016, kuanzia saa 3:00 asubuhi mpaka saa 6:00 Mchana katika ukumbi uliopo gorofa ya pili jengo la utawala SUA…

Bofya hapa kwa maelezo zaidi..

Sokoine University of Agriculture Units Website Ranking Results | September 2017

University wide  Website Committee (UWC) of Sokoine University of Agriculture (SUA) in its 13th meeting held on 06th September 2017 approved the results of the ranking of University website for the College/School/Faculty/Department/Institute/Directorate and Centres for the third quarter (June - September 2017).

Congratulations to the following units for being the Winner (Top three).

1. Sokoine National Agricultural Library (SNAL)

2. College of Agriculture (CoA)

3. College of Forestry, Wildlife, and Tourism (CFWT)

 

 

MISSION:Promote development in Agriculture,natural resources and allied sectors through training,research and delivery of services
Copyright © 2017 Sokoine University of Agriculture. All Rights Reserved.